DESIRE LUZINDA ANAKABILIWA NA KIFUNGO CHA MIAKA KUMI JELA

DESIRE LUZINDA ANAKABILIWA NA KIFUNGO CHA MIAKA KUMI JELA

Like
341
0
Tuesday, 04 November 2014
Entertanment

Msanii kutoka Uganda amabe mapema hapo jana amemake headlines kwenye vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya picha zake za utupu kusambaa kwa kasi zikimuonyesha katika mikao kumi tofauti katika picha hizo.

Watu mbalimbali wamekuwa wakimuiga msanii huyo kwa kuweka V pose akiwemo Bob wyne pia kutoka Uganda

des

Hivi karibuni Desire alipouulizwa kuhusiana na namna picha hizo zilivyovuja alimtupia lawama boy friend wake raia wa Nigeria Franklin kuwa ndie aliefanya hivyo.

mpenzi wake huyo amedai kwamba aliyafanya hivyo baada ya kuchoshwa na tabia za mwimbaji huyo kumsaliti na wanaume tofauti tofauti richa ya kumuonya lakini amekuwa mkaidi hivyo akaapa kumkomoa kwa kuvujisha picha hizo

Franklin alienda mbali zaidi na kusema kuwa wiki moja nyuma Desire alikamatwa kwa kudaiwa deni la shilingi milioni 21 za Uganda ambapo baadae alitolewa na moja ya mpenzi wake.

sakata hilo limechukua sura mpya baada ya Waziri Simon Lokodo ameeleza kuwa iwapo Desire Luzinda na mpenzi wake huyo Franklin watakutwa na hatia watakabiliwa na faini ama kifungo cha miaka kumi ama vyote viwili yani faini na kifungo

Waziri Simon Lokodo tayari ameagiza jeshi la polisi kuanza kumhoji Desire Luzinda ili sheria ichukue mkondo wake

 

Comments are closed.