DIAMOND ASHIKILIWA NA POLISI!!!

DIAMOND ASHIKILIWA NA POLISI!!!

Like
555
0
Thursday, 23 October 2014
Entertanment

Baada ya Meneja wa Diamond kushikiliwa na polisi kwa ajiri ya kufanyiwa mahojiano kuhusiana na swala la msanii huyo kutumia sare za jeshi kwenye tamsha wakati anafanya Show, Leo inasemekana pia Diamond anashikiliwa na polisi leo kwa mahojiano zaidi kufuatia tukio hilo katika kituo cha Oysterbay

Bagdad amezungumza na msemaji wa jeshi ili kujua taratibu zitakazofuatwa kulingana na kosa husika, Hata hivyo msemaji huyo ameongeza ya kuwa sheria itachukua mkondo wake

tale

 

 

Comments are closed.