DIENDERE ASHTAKIWA KWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA SANKARA

DIENDERE ASHTAKIWA KWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA SANKARA

Like
193
0
Monday, 07 December 2015
Global News

KIONGOZI wa mapinduzi yaliyodumu kwa muda mfupi nchini Burkina Faso Jenerali Gilbert Diendere ameshtakiwa kwa kuhusika katika mauaji ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thomas Sankara alieuawa mwaka 1987.

Jenerali Gilbert Diendere ni afisa wa ngazi ya juu zaidi kushatakiwa kwa mauaji hayo.

Rais Sankara aliuawa na kundi la askari, lakini mazingira halisi ya kifo chake yamekuwa hayajulikani.

Comments are closed.