DIRA YA MADINI KUZINDULIWA JANUARI 2016

DIRA YA MADINI KUZINDULIWA JANUARI 2016

Like
315
0
Wednesday, 23 September 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa Tanzania inatarajia kuzindua Dira ya Madini mapema mwezi Januari mwaka 2016, ambayo ni sehemu ya Dira ya Madini Afrika iliyoasisiwa mwaka 2009 na wakuu wa nchi zenye madini Afrika kwa lengo la kuboresha sekta hiyo nchini.

Hayo yamesemwa na Mratibu wa Mradi wa Biofueli, Wizara ya Nishati na Madini, Paul Kiwele, katika warsha kuhusu dira mpya ya madini Afrika iliyofanyika mjini Morogoro.

Warsha hiyo ya siku tatu iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati na Madini imewakutanisha wataalam kutoka taasisi za serikali.

CR

Comments are closed.