DK BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KUJENGA UELEWA JUU YA UANZISHAJI BIASHARA

DK BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KUJENGA UELEWA JUU YA UANZISHAJI BIASHARA

Like
231
0
Monday, 05 October 2015
Local News

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Mohamed Gharib Bilal amesema Shughuli za kibiashara zinahitaji utaalam, uwelewa na uwekezaji mkubwa wa kutambua nafasi za biashara zilipo, namna ya kutumia utaalam wenye ushindani katika soko pamoja na ushirikiano wa pamoja wa kuhusisha Watu hususani katika Makazi ambayo yanazidi kutanuka kutokana na shughuli za kiuchumi.

 

Ameyasema hayo leo katika ufunguzi wa mkutano wa kujengeana uwelewa juu wa uanzishaji wa biashara na ubunifu wa uendeshaji biashara ulio ratibiwa na Shirika la Makazi la Property international kwa lengo la kuboresha huduma za kibiashara katika nyanja mbalimbali za Taifa na kimtaifa.

Comments are closed.