DK SHEIN AZINDUA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

DK SHEIN AZINDUA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Like
319
0
Wednesday, 02 September 2015
Local News

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohamed Shein amezindua Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuwataka wananchi wasiogope mabadiliko katika maendeleo huku akiitaka Kamisheni ya utalii kuutangaza huku akiwashawishi wageni kuutembelea mnara huo.

 

Katika hotuba yake kwa wananchi mara baada ya kuuzindua mnara huo Dokta Shein amesema kuwa  ni vyema  taasisi zinazoshughulika na mambo ya utalii zikafahamu kwamba hivi sasa zina kazi kubwa ya kuhakikisha mnara huo wenye mita 33.5 sasa unakuwa ni miongoni mwa alama ya utambulisho wa Zanzibar ulimwenguni.

Comments are closed.