DK SLAA AREJEA NCHINI

DK SLAA AREJEA NCHINI

Like
257
0
Tuesday, 21 April 2015
Local News

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, kimesema hakina tatizo na Wawekezaji kuwekeza katika nchi yetu kwani hakuna nchi inayoweza kuendelea bila kujenga mahusiano na Nchi zingine.

Pia CHADEMA, hakipotayari kuona Taifa linaingia Mikataba isiyokuwa na Maslahi kwa Watanzania.

Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Chama hicho Dokta WILBROAD SLAA, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage NYERERE akitokea Nchini Marekani kwa ziara Maalumu ya Kichama

Comments are closed.