DMX KUTUMIKIA MIEZI 6 JELA

DMX KUTUMIKIA MIEZI 6 JELA

Like
183
0
Wednesday, 15 July 2015
Entertanment

Rapa aliyewahi kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki na filamu duniani DMX amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela.

Earl Simmons mwenye miaka 44, alishikiliwa katika kituo cha polisi ambapo wasemaji maafisa usalama huko Buffalo katika jiji la New York wamesema rapa huyo amefikishwa katika gereza la Erie County Holding Center.

Wakieleza sababu ya Dmx kuhukumiwa kifungo hiko wamesema kuwa kushindwa kuzingatia agizo la mahakama ya usuluhishi wa masuala ya kifamilia baada ya kushindwa kuchangia matunzo ya mtoto wake.

Comments are closed.