DON JAZZY ATANGAZA KUACHA KUIMBA IFIKAPO 2016

DON JAZZY ATANGAZA KUACHA KUIMBA IFIKAPO 2016

Like
265
0
Tuesday, 29 December 2015
Entertanment

Tukiwa ukingoni mwa mwaka 2015 CEO wa Mavin Records, Don Jazzy ametangaza kustaafu kuimba Muziki na kuendelea na shughuli za uandaaji ifikapo mwaka 2016.

kupitia ukurasa wake wa twitter star huyu wa Nigeria ametoa kauli hiyo huku akiwaacha wengi kati ya mashabiki wa muziki wake wakiwa katika njia panda kukubali ukweli

Comments are closed.