DONALD TRUMP ASHINDA KATIKA JIMBO LA NEVADA

DONALD TRUMP ASHINDA KATIKA JIMBO LA NEVADA

Like
168
0
Wednesday, 24 February 2016
Global News

MGOMBEA wa urais wa chama cha Republican Donald Trump ameshinda katika jimbo la Nevada nchini Marekani, na hivyo basi kuimarisha uongozi wake katika mchujo wa kuwania tiketi ya chama hicho.

Tajiri huyo sasa ameshinda mara tatu ,kufuatia ushindi wake katika jimbo la New Hampshire na Carolina kusini.

Seneta Marco Rubio na Ted Cruz ambao wamekuwa wakishambuliana wiki hii wanapigania nafasi ya pili.

Comments are closed.