DONDOO ZA MICHEZO

DONDOO ZA MICHEZO

Like
610
0
Thursday, 12 March 2015
Slider

Beki wa kimataifa wa Argentina Martin Demichelis ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Manchester City mpaka msimu wa 2015/2016.

martin

 

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Diego Forlan ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Uruguay. Forlan mwenye umri wa miaka 35 ameiwakilisha timu ya taifa ya Uruguay katika michezo 112 huku akifunga magoli 36

DIEGO_PIX

Comments are closed.