E-FM VS KILUVYA VETERANI 2-1

E-FM VS KILUVYA VETERANI 2-1

Like
481
0
Saturday, 07 November 2015
Slider

Mechi ya Mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kivule Veterani imemalizika huku E-fm ikiruhusu washambuliaji wa Kivule Veterani kuziona nyavu mara mbili huku Efm wakiliona lango lao mara moja kupelekea matokeo kuwa 2 – 1, na ushindi kwenda Kivule Veterani wakiutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani

1

Watangazaji wa vipindi vya Sports Headquarters na E Sports, Sud Mkumba na Oscar Oscar wakizungumza na mashabiki kabla ya kushuka dimbani.

2

Picha ya pamoja ya kikosi cha E-fm

3

Kikosi cha timu ya Kivule Veterani kwenye picha ya pamoja

4

E-fm ilipoziona nyavu za Kivule Veterani kupitia mchezaji wake John Makundi

5

Picha ni sehemu ya mashabiki waliojitokeza kushuhudia mtanange huo

6

7

8

WP_20151107_16_29_20_Pro

Comments are closed.