E-FM VS TABATA VETERANI HAKUNA MBABE

E-FM VS TABATA VETERANI HAKUNA MBABE

Like
579
0
Saturday, 21 November 2015
Slider

Dakika 90 za mtanange wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Tabata Veterani zilimalizika kwa sare ya bila kufungana.

Burudani hii ya mpira ilishuhudiwa na mamia ya wakazi wa Tabata waliovutiwa kuona wafanyakazi wa Efm wakiwemo Rdj’s na watangazaji wakisakata kabumbu.

Kikosi cha E-fm chini ya kikiongozwa na nahodha wake Ssebo kwenye picha ya pamoja

1

 

Picha ya pamoja ya Tabata Veterani

2

Mpira ukiendelea katika uwanja wa shule ya Msingi Tabata

3

E-fm wakiliandama lango la Tabata Veterani

4

Mashabiki wa soka wakifuatilia mchezo huo

5

Mwalimu wa kikosi cha E-fm Ibrahim Masoud Maestro akitoa maelekezo wakati wa mapumziko

6

Mashabiki wakifuatilia soka kwa umakini mkubwa

9 10 7 8

Comments are closed.