E-FM YAILAZA CALFORNIA FC 2-1

E-FM YAILAZA CALFORNIA FC 2-1

Like
415
0
Saturday, 17 October 2015
Slider

Dakika 90 za mchezo wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Calfornia Fc zilimalizika kwa E-fm kutetea ahadi yake ya kutembeza dozi kwenye michezo yote iliyosalia katika Muziki Mnene Bar kwa bar.

Umati wa wakazi wa Boko wameshuhudia E-fm ikiwalaza Calfornia Fc magoli 2-1, huku bao la kwanza likifungwa kipindi cha kwanza ambapo Calfornia walisawazisha goli hilo kabla ya kwenda mapumziko.

E-fm ilirudi na kasi ya ajabu katika kipindi cha pili licha ya Calfornia kulilinda goli lao kikamilifu juhudi zao ziligonga ukuta baada ya E-fm kuongeza bao la pili kuelekea nmisho wa mchezo huo.

Hivi sasa burudani ya Muziki Mnene bar kwa bar 2015 imehamia Rainer Park kuhakikisha Muziki Unaongea kikamilifu

DU7C2890

 

DU7C2705

DU7C2632

DU7C2610

DU7C2607

DU7C2598

DU7C2583

DU7C2581

DU7C2571

DU7C2567

 

Comments are closed.