EBOLA: MASHIRIKA YA UTOAJI MISAADA YAONYA HALI NI TETE

EBOLA: MASHIRIKA YA UTOAJI MISAADA YAONYA HALI NI TETE

Like
251
0
Monday, 23 March 2015
Global News

MASHIRIKA ya utoaji misaada yanaonya hali bado ni tete, mwaka mmoja tangu ugonjwa wa maradhi ya Ebola kulipuka Magharibi mwa Afrika.

Shirika la Madaktari wasiokuwa na Mipaka- MSF, limesema kuwa mlipuko huo ambao umewauwa zaidi ya watu Elfu Kumi.

Shirika limesema namna Mashirika ya Matibabu na watoaji Misaada ya Dharura, yanavyoendesha shughuli za kuwaokoa watu kuwa ni taratibu mno.

 

Comments are closed.