EBOLA: SIERRA LEONE YAPIGA MARUFUKU MIKUSANYIKO

EBOLA: SIERRA LEONE YAPIGA MARUFUKU MIKUSANYIKO

Like
271
0
Thursday, 25 December 2014
Global News

SERIKALI YA SIERRA LEONE imetangaza siku tatu za marufuku Kaskazini mwa taifa hilo, ili kuruhusu jitihada za kukabiliana na kuenea zaidi kwa ugonjwa hatari wa Ebola.

Msemaji wa Serikali amesema kuwa maduka na masoko yatafungwa na hakuna magari ya abiria au pikipiki zitakazokubaliwa kupita kwenye barabara za eneo hilo.

Sherehe Makanisa kuadhimisha sherehe za siku ya Krismasi pia zimepigwa marufuku.

Comments are closed.