EBOLA YACHUKUA 5420 DUNIANI KOTE

EBOLA YACHUKUA 5420 DUNIANI KOTE

Like
295
0
Thursday, 20 November 2014
Global News

SHIRIKA la Afya Duniani –WHO, limesema watu wapatao 5,420 wameshapoteza maisha hadi sasa kutokana na ugonjwa wa Ebola kati ya wagonjwa 15,145 walioambukizwa tangu Disemba mwaka jana.

Ijumaa iliyopita, shirika hilo lilikuwa limeripoti kwamba waliokufa walikuwa 5,177 na walioambukizwa walikuwa 14,413.

WHO inaamini kuwa idadi halisi ya vifo inaweza kuwa zaidi ya hapo, kwa kuzingatia kwamba asilimia 70 ya wanaoambukizwa hupoteza maisha.

Comments are closed.