EFM MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KIBAHA 2015

EFM MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KIBAHA 2015

Like
700
0
Monday, 28 September 2015
Entertanment

93.7 EFM yajinyakulia ushindi baada ya kuwafunga kibaha veterans mabao

mawili kwa moja, katika mchezo uliochezwa jumamosi ya juzi katika uwanja

wa Tamco kibaha.

Mechi hiyo ni baadhi ya mechi zinazoendelea baina ya EFM na timu

mbalimbali za wasikilizaji wake, Kupitia kampeni ya Muziki mnene bar kwa

bar .

unnamed (2)

unnamed (3)

unnamed

unnamed (1)

 

Burudani haikuishia hapo, baada ya mechi hiyo shangwe ziliendelea ndani ya

kibaha kontena. Ilikuwa ni bandika bandua ya ngoma kali kutoka kwa Rdj’s wa

93.7 EFM na shamra shamra kutoka kwa timu nzima ya EFM na wakazi wa

kibaha.

unnamed (5)

unnamed (4)

Comments are closed.