EFM YAKABIDHIWA MICHORO YA MADARASA KUTOKA KWA AFISA ELIMU, KINONDONI

EFM YAKABIDHIWA MICHORO YA MADARASA KUTOKA KWA AFISA ELIMU, KINONDONI

Like
793
0
Monday, 01 February 2016
Local News

Efm Radio,katika harakati zakufanikisha ahadi ya kujenga madarasa, imekabidhiwa michoro ya ramani ya madarasa ya sekondari wilaya ya Kinondoni kata ya Kimara, Makabidhiano yaliyofanyika  katika ofisi za Kituo hicho cha Utangazaji kupitia masafa ya 93.7 leo asubuhi.

Mkurugenzi Mkuu wa Efm Radio, Francis Siza akipokea ramani ya michoro ya madarasa kutoka kwa Afisa elimu wa wilaya ya Kinondoni Bwana Rogers J. Shemwelekwa.

1

Afisa elimu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Rogers J. Shemwelekwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Efm Radio baada ya makabidhianao ya michoro ya madarasa,(kushoto) ni Mkurungezi mkuu wa Efm Radio Bw.Fransis Siza, (kulia) ni Mhariri mkuu Scholastica Mazula na meneja mahusiano na mawasiliano Bw. Denis Ssebo.

2

Comments are closed.