EFM YAZINDUA KAMPENI YA TWENDE SAWA

EFM YAZINDUA KAMPENI YA TWENDE SAWA

Like
524
0
Wednesday, 11 March 2015
Local News

KITUO Cha Radio Cha EFM kimezindua rasmi Kampeni yake ya TWENDE SAWA ikiwa ni kuashiria Shamrashamra za kutimiza Mwaka MMoja tangu kuanzishwa kwake.

Akizungumzia shamrashamra hizo Mkuu wa Vipindi wa Efm DICSON PONELA amesema sherehe hizo zimeshaanza rasmi kwa matukio mbalimbali ambapo tarehe rasmi ya sherehe hizo ni April Pili mwaka huu.

Comments are closed.