ELANI KUFANYA WIMBO NA YVONNE CHAKACHAKA

ELANI KUFANYA WIMBO NA YVONNE CHAKACHAKA

Like
340
0
Monday, 16 March 2015
Entertanment

Kundi la muziki kutoka Kenya Elani, waliofanya vizuri na nyimbo kama kookoo na nyingine kibao zilizowatambulisha kwenye ramani ya muziki Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.

Wasanii hao kwa sasa wapo mbioni kufanya wimbo wa pamoja na mkali kutoka Afrika kusini Yvonne Chaka Chaka ambapo taarifa hizo zimethibitishwa na Chaka Chaka mwenyewe wakati akitumbuiza kwenye moja ya matamasha

ELAN22

Yvonne Chaka Chaka

Comments are closed.