ELIMU ZAIDI YAHITAJIKA JUU YA YUGONJWA WA KIPINDUPINDU

ELIMU ZAIDI YAHITAJIKA JUU YA YUGONJWA WA KIPINDUPINDU

Like
314
0
Wednesday, 30 September 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa inahitajika elimu ya kutosha kwa wananchi juu ya suala zima la ugonjwa wa kipindu pindu na umuhimu uliopo kwa watanzania wote kudumisha hali ya usafi na kujiepusha na mambo yoyote ambayo yatapelekea kwa namna moja ama nyingine ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huo.

 

Akizungumza na Waandishi wa habari Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni MUSSA NATTY Amesema kuwa suala zima la kudhibiti ugonjwa wa kipindu pindu jijini linashindikana kutokana na watanzania wengi kutozingatia mambo muhimu ambayo  yameelekezwa na wizara ya afya pamoja na wadau mbali mbali wa masuala ya afya kuhusu ugonjwa huo  .

Comments are closed.