ENGLAND: ROY HODGSON AFANYA MAZUNGUMZO KUMREJESHA JOHN TERRY

ENGLAND: ROY HODGSON AFANYA MAZUNGUMZO KUMREJESHA JOHN TERRY

Like
275
0
Thursday, 31 March 2016
Slider

Kocha wa England, Roy Hodgson akiri kuanza kufanya mazungumzo na John Terry ili arejee kwenye kikosi kuongeza nguvu.
hatua ya kocha huyu kutaka kumrejesha Terry imekuja baada ya kugundua pengo kwenye safu ya ulinzi kwnye kikosi chake kwenye michuano ya Euro 2016.
Terry, 35, ambae amestaafu soka la kimataifa September 2012 anatajwa kuwa tumaini la kocha Roy Hodgson.

Comments are closed.