ESCROW: BARAZA LA MAADILI KUWAHOJI VIGOGO LEO

ESCROW: BARAZA LA MAADILI KUWAHOJI VIGOGO LEO

Like
327
0
Monday, 23 February 2015
Local News

VIGOGO wanaodaiwa kuhusika katika Akaunti ya Tegeta ESCROW leo waananza kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.

Habari za kuaminika zimeeleza kuwa vikao vya Baraza hilo ambavyo vitawahoji viongozi mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Mameya vitaanza leo na vitadumu kwa wiki tatu.

Hata hivyo macho na Masikio ya Watanzania wengi yapo kwa Vigogo wanaotajwa kupata mgawo wa fedha za ESCROW kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, JAMES RUGEMALIRA

Comments are closed.