ESCROW: OFISA MTENDAJI MKUU WA RITA ASIMAMISHWA KAZI

ESCROW: OFISA MTENDAJI MKUU WA RITA ASIMAMISHWA KAZI

Like
326
0
Wednesday, 15 April 2015
Local News

OFISA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini-RITA,PHILIP SALIBOKO,amesimamishwa kazi.

Hatua hiyo inatokana na kesi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu, inayohusu kupokea mgawo wa fedha kutoka Akaunti ya Tegeta ESCROW.

Kwa mujibu wa taarifa iliyopatikana na kuthibitishwa na SALIBOKO mwenyewe,kusimamishwa kwake

Comments are closed.