ESSEBSI AJITANGAZIA USHINDI TUNISIA

ESSEBSI AJITANGAZIA USHINDI TUNISIA

Like
287
0
Monday, 22 December 2014
Global News

MGOMBEA WA URAIS nchini Tunisia, anayepinga Itikadi Kali za Kiislamu, BEJI CAID ESSEBSI, amejitangazia ushindi mkubwa katika uchaguzi wa kwanza huru.

Hata hivyo, mpinzani wake, Rais aliyeko madarakani, MONCEF MARZOUKI, amepuuza madai hayo akisema hayana msingi na amekataa kukubali kuwa ameshindwa.

Wananchi wa Tunisia wamepiga kura katika awamu ya Pili, huku wengi wao wakiuita uchaguzi huo kama uchaguzi wa Kihistoria wa Demokrasia katika nchi hiyo ambapo vuguvugu la mageuzi katika nchi za Kiarabu limeanzishwa.

 

Comments are closed.