ETOILE DU SAHEL YAWASILI DAR

ETOILE DU SAHEL YAWASILI DAR

Like
411
0
Friday, 17 April 2015
Slider

Kuelekea mchezo wa Yanga na Etoile du sahel utakaopigwa katika uwanja wa taifa hapo kesho tayari timu ya Etoile du sahel imewasili jijini Dar es salaam katika hali isiyokuwa ya kawaida kocho wa timu hiyo amekataa kuongea na waandishi wa habari.

Nahodha wa timu ya Yanga Nadir Haroub Cannavaro kwa upande wake akizungumza na sports headquarters ya Efm amesema mpira ni mchezo wa makosa hivyo wamejipanga vyema ili kuwezakufanya vizuri katika mchezo wa kesho

Nahida huyo pia akizungumzia timu kwa ujumla amesema wamejipanga vya kutosha kuhakikisha wanashambulia zaidi ili kuishinda mbinu ya wapinzani yao ya kuupozesha mpira pia amewataka watanzania kuimbea dua Yanga kasha kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo wa kesho.

 

Comments are closed.