EU: YAJADILI UANACHAMA WA UINGEREZA

EU: YAJADILI UANACHAMA WA UINGEREZA

Like
234
0
Friday, 18 December 2015
Global News

VIONGOZI wa muungano wa Ulaya wamesema wako tayari kufikia mapatano ya kuiwezesha Uingereza kusalia katika Muungano huo.

Hata hivyo viongozi hao wanaokutana mjini Brassels, wamesisitiza kuwa makubaliano yoyote hayapaswi kuvunja kanuni za muungano wa Ulaya.

Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron amesema kumekua na mafanikio, lakini akasema bado kuna kazi ngumu inayowasubiri mbele yao.

Comments are closed.