FA YATUPILIA MBALI RUFAA YA MOURINHO

FA YATUPILIA MBALI RUFAA YA MOURINHO

Like
266
0
Friday, 06 November 2015
Slider

Fa imetupilia mbali rufaa ya meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho aliyoikata kupinga faini ya pound 50,000 na kufungiwa mchezo mmoja na shirikisho hilo la soka.

Mreno huyo alipigwa faini hiyo kufuatia kauli yake aliyoitoa baada ya timu yake kutandikwa Southampton kwa kudai kuwa waamuzi wa mchezo huo waliogopa kutoa penati kwa klabu yake.

Comments are closed.