FAINALI ZA FA: ASTON VILLA USO KWA USO NA ARSENAL

FAINALI ZA FA: ASTON VILLA USO KWA USO NA ARSENAL

Like
263
0
Monday, 20 April 2015
Slider

Aston Villa kukutana na Arsenal kwenye fainali za kombe la FA baada ya kuitandika Liverpool 2-1 kwenye nusu fainali za kombe hilo.

Kocha wa aston Villa Tim Sherwood akizungumzia maandalizi kuelekea mchezo huo amesema wanajipanga vilivyokuhakikisha kuwa wanaibuka na ushindi kwenye mchezo huo dhidi ya washika bunduki

Sherwood aliongeza kwakusema wanajipanga kwani katika mechi za awali  walipewa kipigo cha 3-0 na 5-0 hivyo Arsenal sio timu ya mzaha kwao.

Comments are closed.