FLOYD MAYWEATHER: KUTOA MIMBA NI MAUAJI

FLOYD MAYWEATHER: KUTOA MIMBA NI MAUAJI

Like
264
0
Thursday, 27 November 2014
Entertanment

 

Floyd Mayweather  amedai kuwa hakumkosea aliekuwa mpenzi wake Shantel Jackson hakumkosea kufuatia kitendo cha yeye kulizungumzia swala la Shantel Jackson kutoa mimba kupitia mitandao ya kijamii kwavile hata mahusiano yao yalikuwa ni kutafuta umaarufu kwenye jamii

Mapema mwaka huu iliripotiwa kwamba Shantel Jackson amefungua kesi kwa sababu tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kushambuliwa, kashfa, uvamizi wa faragha na zaidi.

Floyd Mayweather  alifunguka zaidi na kutoa siri kuwa Shantel ndie aliemtafuta yeye na kumuomba amfanye kuwa maarufu na ndio maana kila jambo walilofanya lilikuwa ni kwa ajili ya kumpandisha chati kupitia umaarufu wa Mayweather lakini pia kuanza kuonekana kwenye video za muziki aliongeza kuwa watu walipenda zaidi umaarufu wao kwenye kila Nyanja ikiwemo kuvunjika kwa penzi lao

Mapema mwaka huu Floyd Mayweather  alitangaza kuachana na binti huyo kwa sababu alitoa mimba kwa siri jambo ambalo haliungi mkono kwani kwake ni sawa na mauaji kwa watoto ambao kimsingi wanahaki ya kuishi

wather

Comments are closed.