FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA

FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA

Like
333
0
Monday, 02 February 2015
Slider

Bondia wa mchezo wa Masumbwi nchini Francis Cheka ambae makazi yake yapo mjini morogoro amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kukutwa na hatia yakumpiga mtu aliekuwa akimdai, akizungumza na efm kupitia kipindi cha Sport Headquarter baba mzazi wa Francis Cheka amesema haikuwa sahihi kwa mwanae kupewa hukumu hiyo na badalayake wangekaa na kuzungumza ili kuyamaliza matatizo hayo.

Mzee huyo alienda mbali zaidi na kusema kuwa kuna watu wenye chuki na mwanae wameitumia kesi hiyo ya muda mrefu kutimiza malengo yao lakini pia mzee huyo ameelezea hisia zake kwa wakazi wa Morogoro kutoa sapoti ndogo kwa mwanae.

Comments are closed.