FRENCH MONTANA ATANGAZA KUACHIA ALBAM DECEMBER 16

FRENCH MONTANA ATANGAZA KUACHIA ALBAM DECEMBER 16

Like
342
0
Friday, 31 October 2014
Entertanment

French Montana alizaliwa huko Karim Kharbouch mwaka 1984 ndani ya Rabat, Morocco, rapa huyo wa kimarekani ni mwanzilishi na mmiliki wa Cocaine City Records , lakini mwaka 2012 alisaini mkataba na kampuni za Maybach Music Group and Bad Boy Records, umaarufu wake umekuja zaidi kufuatia kolabo zake na wasanii tofauti ikiwemo Max B, rick rose n.k

Kupitia interview aliyoifanya kwenye kipindi cha Sway in the Morning rapa huyo ametangaza kuachia albamu yake ya Mac & Chees hapo December 16 baada ya uongozi wake kumkubalia

 

montana

Comments are closed.