FRONTEX YATAKA MISAADA ZAIDI KWA NCHI ZENYE IDADI KUBWA YA WAHAMIAJI

FRONTEX YATAKA MISAADA ZAIDI KWA NCHI ZENYE IDADI KUBWA YA WAHAMIAJI

Like
146
0
Wednesday, 19 August 2015
Global News

SHIRIKA la Umoja wa Ulaya linalopambana na maswala ya uhamiaji haramu na biashara ya binadamu, Frontex limetoa wito kwa nchi wanachama wa umoja huo kutoa msaada zaidi kwa nchi tatu zilizoathirika kutokana na kuwa na idadi kubwa ya wahamiaji. Ugiriki, Italia na Hungary ni nchi zinazoelezwa kuathiriwa zaidi. Watu hao wengi wanaelezwa kutoka nchini Syria,Afghanistan na nchi za kusini mwa jangwa la Sahara wakikimbia hali mbaya ya usalama na umasikini

Comments are closed.