GAZETI LA VIBONZO LINATARAJIWA KUCHAPISHA KIBONZO KESHO

GAZETI LA VIBONZO LINATARAJIWA KUCHAPISHA KIBONZO KESHO

Like
237
0
Tuesday, 13 January 2015
Global News

GAZETI la kila Wiki la Vibonzo la CHARLIE HEBDO la Ufaransa toleo la January 14 linatarajiwa kuchapisha Kibonzo cha MTUME MOHAMED S.A.W katika ukurasa wake wa mbele chenye kichwa cha habari kisemacho“YOTE YAMESHASAMEHEWA”

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa Walioona kibonzo hicho wamesema MTUME MOHAMMAD S.A.W ataonekana ameshikilia bango lililoandikwa “JE SUIS CHARLIE” maneno yenye tafsiri “mimi ni Charlie, yaliyotumika kuonyesha mshikamano, baada ya shambulizi katika ofisi za gazeti hilo Jumatano wiki iliyopita ambapo wafanyakazi Kumi na Wawili wa gazeti hilo wameuawa

Comments are closed.