GESI NA MAFUTA KUZALISHA ZAIDI YA AJIRA ELFU 16

GESI NA MAFUTA KUZALISHA ZAIDI YA AJIRA ELFU 16

Like
280
0
Wednesday, 08 July 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa zaidi ya ajira elf 16 zinatarajiwa kuzalishwa kutokana na kuanzishwa kwa shughuli za ujenzi wa mitambo ya mafuta na  gesi nchini Tanzania.

Akizungumza na kituo hiki Jijini Dar es  salaam  Mkufunzi wa umeme kutoka chuo cha –VETA– mkoani  Lindi  MAJEO MGOE  amesema  shughuli hizo zitasaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza Ajira hususani kwa wahitimu wa chuo hicho.

Magoe ameongeza kuwa mafunzo wanayopata wanafunzi kutoka katika chuo hicho yamewasaidia vijana  kuongeza sifa za kuajiriwa  hali ambayo inawawakwamua kiuchumi na kuliletea Taifa maendeleo.

Comments are closed.