GHARAMA ZA MASOMO ZASABABISHA UHABA WA MARUBANI

GHARAMA ZA MASOMO ZASABABISHA UHABA WA MARUBANI

Like
451
0
Tuesday, 16 December 2014
Local News

IMEELEZWA kuwa gharama kubwa za mafunzo ya urubani zimekuwa kikwazo kwa wanafunzi kujiunga na taaluma hiyo na kusababisha kuwepo na uhaba wa Marubani wa ndege za Abiria na Helkopta nchini.

Hayo yameelezwa na Rubani Mstaafu Meja CHARLES WACHIRA alipokuwa akiongea na EFM kuhusu Uhaba wa Marubani unaozikumba nchi za Afrika Mashariki.

Rubani huyo Mstaafu ameeleza kuwa amekuwa maarufu hapa nchini kwa kipindi kirefu kutokana na kushiriki katika Kampeni za Vyama Vya Siasa nchini akiendesha Helkopta ambazo zimekuwa zikikodiwa na vyama vya siasa.

 

Comments are closed.