GONZALO AKABIDHIWA JEZI NO 9

GONZALO AKABIDHIWA JEZI NO 9

Like
333
0
Wednesday, 27 July 2016
Slider

Nyota mpya wa klabu ya Juventus ya Italia Gonzalo Higuain amekabidhiwa jezi no 9 kwenye kikosi cha mabingwa hao wa ligi kuu ya Italia Serie A.
Higuain mwenye umri wa miaka 28 amejiunga na Juventus kwa dau LA Euro million 94.7 akitokea Napoli pia ya Italia.
Katika msimu uliopita nyota huyo amefunga magoli 36 akiweka rekodi hiyo kwenye ligi hiyo.

Comments are closed.