GWIJI WA SOKA BARANI AFRIKA NWANKWO KANU AFANYA EXCLUSIVE INTERVIEW NDANI YA EFM REDIO

GWIJI WA SOKA BARANI AFRIKA NWANKWO KANU AFANYA EXCLUSIVE INTERVIEW NDANI YA EFM REDIO

Like
1247
0
Thursday, 07 April 2016
Slider

Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Nigeria na club za Ajax, Inter Milan, Arsernal, na Portsmouth Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi wa Startimes akiwa katika kituo cha EFM REDIO kwa ajili ya kufanya mahojiano ya moja kwa moja katika kipindi cha SportsHeadquarters.

1

Mtaalamu huyo wa mpira wa miguu akizungumza jambo katika studio za EFM redio

2

Nwankwo Kanu akiwa katika mahojiano studio za EFM redio kwenye kipindi cha sports headquarters.

3

Watangazaji wa sports headquarters katika picha ya pamoja na Nwankwo Kanu.

4

Afisa habari wa EFM redio wakiwa na Nwankwo Kanu (wakwanza kushoto) ni Aneth Mrindoko, Jesca Mwanyika (kulia) na mtayarishaji wa kipindi cha Uhondo Asha Manga.

5

Baadhi ya Afisa masoko wa EFM redio wakiwa pamoja na Mchezaji huyo wa zamani wa mpira wa miguu

6

Akimkabidhi meneja mkuu wa EFM redio Mr. Dennis Ssebo king’amuzi cha startimes.

7

Mhariri mkuu akiwa katika pozi na Nwankwo Kanu

8

Comments are closed.