Habari Picha Ugawaji wa Wese Kigoma

Habari Picha Ugawaji wa Wese Kigoma

1
1524
0
Thursday, 06 September 2018
Mziki Mnene

Wasikilizaji wa 102. 9 Kigoma leo wamepata faida ya kusikiliza redio yao ya Efm  kwa kujaziwa Full Tank ya Wese kwenye Vyombo vyao vya Usafiri ambavyo ni Bajaji na Bodaboda.

Tukio hilo huwa linafanywa na kituo chetu cha redio kama kurudisha shukrani kwa Wasikilizaji wetu

na hapa chini nimekuwekea picha zote za tukio hilo






Inalipa kusikiliza namba ya bahati ukiwa na stika yako inayosomeka 102.9

Mwanga , Ujiji , Mlole , Buzebazeba , Katubuka hadi Kilimahewa tunaanza kuikata mitaa mshale ukisoma full tank. #WeseBureKigoma #MzikiMnene2018Kigoma #HatupoiHatuboi

@rdjblackiie Amesonga mbele kabisa kuhakikisha wana wote wanavutiwa wese full tank. #WeseBureKigoma #MzikiMnene2018Kigoma #HatupoiHatuboi

 

Wenye redio yao wanaipeperusha bendera ya nyumbani wakivuta wese full tank . #MzikiMnene2018Kigoma #HatupoiHatuboi

#WeseBure 102.9 Kigoma

Kupitia stika zinazosoma namba kubwa ya bahati 102.9 Kigoma #HatupoiHatuboi Mwendo wa kumwaga wese bureeee #MzikiMnene2018Kigoma

Kupitia stika zinazosoma namba kubwa ya bahati 102.9 Kigoma #HatupoiHatuboi Mwendo wa kumwaga wese bureeee #MzikiMnene2018Kigoma

Furaha yetu ya kuwa nyumbani ni kuendelea kuliona tabasamu la usikivu wa faida #WeseBure 102.9 Kigoma fundikhamiss_fullmigebukaMmetishaaaaaaa

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *