HAITI YAENDELEA NA MAZUNGUMZO KUTATUA MGOGORO UNAOKWAMISHA UCHAGUZI

HAITI YAENDELEA NA MAZUNGUMZO KUTATUA MGOGORO UNAOKWAMISHA UCHAGUZI

Like
280
0
Monday, 12 January 2015
Global News

RAIS wa Haiti na Wabunge wa Upinzani wanaendelea na mazungumzo, kujaribu kufikia makubaliano ya dakika za mwisho, kutatua mgogoro unaokwamisha uchaguzi katika taifa hilo linalokabiliwa na matatizo.

Rais MICHEL MARTELLY na Maafisa wa upinzani wamekuwa katika mvutano kuhusu uchaguzi wa Bunge uliopaswa kuitishwa mwaka 2011.

Comments are closed.