HALI YA USALAMA NI TETE HAITI

HALI YA USALAMA NI TETE HAITI

Like
259
0
Friday, 30 October 2015
Global News

HALI katika mji mkuu wa Haiti ni tete baada ya wafuasi wa mgombea mmoja wa kiti cha urais kuleta vurugu kwa kuwasha moto magurudumu ya magari na kuweka vizuzi barabarani.

Vurugu hizo zimejiri baada ya mgombea wanaomuunga mkono Moise Jean-Charles, kudai kuwa kura zake zimeteketezwa moto na zingine kufichwa.

Hatha hivyo wanaishtumu tume ya uchaguzi nchini humo kwa kukiuka kanuni na utendaji wa uchaguzi huru na wa haki.

Comments are closed.