HALMASHAURI YA KIMATAIFA YA SAFARI ZA BAHARINI YATOA RIPOTI KUHUSU UHARAMIA

HALMASHAURI YA KIMATAIFA YA SAFARI ZA BAHARINI YATOA RIPOTI KUHUSU UHARAMIA

Like
318
0
Tuesday, 21 April 2015
Global News

HALMASHAURI ya Kimataiafa ya safari za baharini IBM imetoa ripoti yake ya hivi punde kuhusu uharamia.

Halmashauri hiyo inasema kuwa uharamia sasa umeripotiwa Kusini Mashariki mwa bara Asia, huku Meli ndogo za kusafirisha mafuta zikishambuliwa baada ya kila wiki mbili.

Kwenye ripoti yake ya kila baada ya miezi mitatu, IMB inasema kuwa licha ya kupungua kwa mashambulizi kote duniani miaka ya hivi majuzi, visa vya uharamia viliongezeka katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka 2015.

 

Comments are closed.