HAMAD RASHID AKABIDHIWA RASMI KADI YA ADC LEO

HAMAD RASHID AKABIDHIWA RASMI KADI YA ADC LEO

Like
275
0
Thursday, 23 July 2015
Local News

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Wawi kisiwani Zanzibar kupitia chama cha wananchi-CUF– Mheshimiwa HAMAD RASHID leo amekabidhiwa rasmi kadi ya kuwa mwanachama wa chama cha Alliance for Democratic Change-ADC.

 

Akizungumza wakati wa kumkabidhi kadi hiyo ya uwanachama, Mwenyekiti wa –ADC- Taifa SAID MIRAJI amesema ni muda muafaka sasa kwa watanzania kuwa wamoja ili kuleta maendeleo kwa Taifa.

 

Aidha amevihakikishia vyama vingine vya siasa kuwa chama chao kipo tayari kushirikiana kwa masuala muhimu na yenye maslahi kwa wananchi bila ubaguzi wowote.

 

Comments are closed.