HAPPY BIRTHDAY E SPORTS

HAPPY BIRTHDAY E SPORTS

Like
671
0
Friday, 21 August 2015
Slider

Leo kipindi pendwa cha michezo Tanzania cha E SPORTS kimefikisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake

Katika kusherehekea siku hii muhimu kikosi cha watangazaji wa michezo ndani ya Efm waliungana na wadau wa Stars supporters kusherehekea siku muhimu katika historia ya mapinduzi ya michezo nchini

Timu hii machachari kabisa inaundwa na Maulid Kitenge, Omary Katanga, Ibrahim Masoud, Sud Mkumba, Mussa Kawambwa, Oscar Oscar, Francis Mhando, Yusuph Mkule pamoja na Dokta Panjuan

WP_20150821_20_17_41_Pro WP_20150821_20_14_32_Pro__highres WP_20150821_20_00_53_Pro WP_20150821_20_00_27_Pro (2) WP_20150821_19_23_58_Pro

Comments are closed.