HATIMAYE ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA HADHARANI

HATIMAYE ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA HADHARANI

Like
347
0
Friday, 18 March 2016
Slider

Kwa mara ya kwanza Manchester City yafuzu katika hatua hiyo ikikutana na vigogo kutoka nchini Ufaransa Paris St-Germain, Vita nyingine kali ni kati ya mabingwa wa Hispania Fc Barcelona dhidi ya majirani zao Atletico Madrid, huku Bayern Munich na Real Madrid wakipata mchekea.

Wolfsburg (Germany) v Real Madrid (Spain)
Bayern Munich (Germany) v Benfica (Portugal)
Barcelona (Spain) v Atletico Madrid (Spain)
Paris St-Germain (France) v Manchester City (England)
Michezo hiyo inapigwa Tarehe 5 – 6 April na Marudiano ni Tarehe 12 – 13 April

Comments are closed.