Kufuatia maneno ya hapa na pale juu ya mahusiano kati ya msanii Shilole na Nuh mziwanda, haya ndio machache ambayo Shilole ameyatoa kutoka Moyoni mwake
kupitia mtandao wa instagram msanii huyo aliwataka wanaoyachukia mapenzi yao wawache kama walivyo