HOFU YA KUPIMA AFYA YAONGEZA IDADI YA VIFO VITOKANAVYO NA SARATANI

HOFU YA KUPIMA AFYA YAONGEZA IDADI YA VIFO VITOKANAVYO NA SARATANI

Like
267
0
Tuesday, 10 February 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa wanawake wengi wamekuwa wakipoteza maisha kwa ugonjwa wa Saratani kutokana na uoga wa kupima afya zao mara kwa mara.

Akizindua upimaji wa Saratani Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma FATMA ALY amesema Wanawake wamekuwa wakiishi kwa hofu kuogopa kupima afya zao wakihofia kupokea majibu ambayo si mazuri.

Amesema Saratani inatibika kama watawahi kabla haijazidi hivyo amewataka wajijengee tabia ya kupima afya mara kwa mara.

 

 

Comments are closed.