HOMA YA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA YAPAMBA MOTO

HOMA YA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA YAPAMBA MOTO

Like
384
0
Wednesday, 28 September 2016
Slider

“Natayarisha Supu ya Mawe”, kauli ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope kuelekea mchezo utakawakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.

Timu zote mbili zipo kambini kwa sasa kujiandaa na mchezo huo unasubiri kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka huku ukitajwa kuwa na mvuto wa kipekee, Simba imeweka kambi Morogoro, huku Yanga wakiweka kambi Pemba

Comments are closed.