HONGERA CHELSEA

HONGERA CHELSEA

Like
380
0
Monday, 02 March 2015
Slider

Jose Mourinho ayataka makombe mengine baada ya kushinda kwenye Capital One Cup

Meneja huyo wa Chelsea kwa sasa anatazamiwa kuwekeza nguvu kuhakikisha anayaramba makombe mengine baada ya ushindi wa Capital One Cup hapo jumapili

Ushindi huo wa The Blues umekuja mara baada ya Terry strike na Kyle Walker kuzichungulia nyavu za Tottenham huko Wembley mabao yaliyopelekea timu hiyo kuibuka na ushndi wa 2-0

Mourinho ambae kwa mara ya kwanza alikuwa meneja wa klabu ya Chelsea kati ya mwaka 2004 hadi 2007 na baadae kurejea mwaka 2013 kwa sasa ameweza kushinda makombe saba na klabu hiyo ya London

Ushindi wake wa kwanza ulikuwa ni wa kombe la ligi mwaka 2005 ambapo Chelsea waliibuka washindi mwaka huo lakini wanatazamiwa pia kuweza kulichukuwa kombe la ligi kuu mwaka huu kufuatia nafasi waliyokuwepo kwenye msimamo wa ligi

ch2 ch

 

Comments are closed.